Nyumba Inauzwa Mwanza

Mbishi Uswazi

Senior Member
Joined
Feb 7, 2020
Posts
175
Reaction score
338
Nyumba Inauzwa Mwanza Maeneo ya Busenga karibu na Igoma, kutoka barabara kuu kituo cha daladala cha ndama karibu na cocacola mpaka nyumba ilipo ni Kilometers 1

Vyumba 3 vya kulala kimoja ni master

Sitting na Dinning room
Na kuna choo cha ndani na cha nje pia

Pia ina frem 4 kwa mbele,barabara kuu ya kutoka Igoma kwenda Busweru wilayani

Bei 35m

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…