Nyumba inauzwa Musoma Mjini

apolycaripto

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
644
Reaction score
225
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):


  1. Vyumba vitano ila kimoja kinachoo chake (Five rooms including Master)
  2. Sebule ya Chakula (Dining Room)
  3. Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
  4. Choo cha jumuia (Public Toilet)
  5. Stoo
  6. Jiko
  7. Kiwanja ni kikubwa kwa maana ya kuweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo na kubaki (Medium Density)

Hali ya Nyumba: Nyumba haijakamilika kwa maana ya paa la ndani (ceiling board) na mapambo (decorations) mengine pamoja na choo cha nje.

Umeme auhitaji nguzo hata moja, maji pia ni wastani wa mita 3 toka yalipofikia.

Bei ni Milion 45 bila dalali. Mawasiliano piga +255 713 493568 (Mwenye Nyumba)

MUHIMU: Mteja kujitahidi kufika eneo husika na kuona kwanza nyumba ama kumtumia mtu aliyekaribu na eneo husika yaani Musoma Mjini na ushirikiano atapewa wa kutosha.
 
Ni karibu na Shule za kata maeneo hayo au karibu na soko la Nyakato ama uvuki pale kwenye kona ya kuelekea kanisa katoliki la rwamlimi ukiwa unatokea nyakato kwa mkono wakulia,na kama unatokea uko mutex mkono wa kushoto nataka kujua ni maeneo hayo ingekuwa vizuri utupe na picha maana wengine maeneo hayo tuliacha kuna majaruba.
 

Njia nzuri ni barabara kuu kutokea soko la Saa Nane ukielekea Mutex, Ukiwa hapo kwenye majaruba ni Mkono wa kulia ukipanda juu mita 700 kama unaelekea Kanisani (ambapo ni mbali zaidi).Kifupi nyumba imeshare uzio na Diwani wa Kata ya Rwamlimi Mh. Zedi ama Sondobhi.

Nitajitahidi kuleta picha japo muhimu mtu akafika na kukagua zaidi ya picha.
 
Weka picha mkuu, nahamia musoma hivi karibuni ili nikija niiimalizie kabisa na kuvuta familia yangu kutoka Dar
 

sooon!!Simu itahusika mkuu ili tuzungumze.
 
Weka picha mkuu, nahamia musoma hivi karibuni ili nikija niiimalizie kabisa na kuvuta familia yangu kutoka Dar

Sawa Mkuu!Mimi nipo Dar es Salaam, nimejaribu kuagiza mtu apige picha na kunitumia. Pia vizuri ukafika ama kumuagiza mtu mlieshibana nae afike katika eneo hilo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…