Nyamburi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 306 Reaction score 37 Mar 22, 2013 #1 Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5/=m mazungumzo yapo pia,mwenye kuwa interested ani pm
Ipo maeneo ya Bigwa mtaa wa Lukuyu,ina uwanja mkubwa sana wa kuweza kujena nyumba zingine!imejengwa mpaka level ya rinta!ina vyumba vinne,master,sebule na jiko!bei ni 19.5/=m mazungumzo yapo pia,mwenye kuwa interested ani pm
M master eagle JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 342 Reaction score 88 Sep 20, 2013 #2 Mkuu unaweza weka picha vipi kiwanja kimepimwa na sababu ya kuuza pia ni ipi