Vipi mkuu, ni nyumba za NHC? Naona kama zimepangana nyingi zinazofanana vile!!
nmeipenda hiyo nyumba tatzo pesa pesa ss wengine...
mzunguko wa pesa yako ukoje, tunaweza kukubaliana ukalipa hata kwa installment tatu. (kwa ajili yako kwa kuwa umeipenda , na nizuri kuwa na kitu unachokipenda na kuvutiwa nacho)
una kauli nzuri sana ya biashara ngoja na mimi nijaribu kuifanyia udalali vp nkikupatia mteja utanipa asilimia ngapimzunguko wa pesa yako ukoje, tunaweza kukubaliana ukalipa hata kwa installment tatu. (kwa ajili yako kwa kuwa umeipenda , na nizuri kuwa na kitu unachokipenda na kuvutiwa nacho)
kama ina hati hyo bei sio tatizo ntakutafuta tufanye biashara
nyumba imemaliziwa kujengwa mwaka 2012 haina mizimu na sisi hatuna imani hizo. Tumeamua kuiuza kwa sababu nyingine binafsi tu ili kuendeleza biashara tuliyonayo, na tunaamini biashara inaweza kujenga tena nyumba kama hiyo kwa miezi au miaka kadhaa ichache ijayo kuliko tukitegemea kusubiri kodi za wapangaji ambao wanalipa kwa mwaka au kusubiri miaka kumi thamanai ya ardhi ikue. '' shika ushikacho, kijacho majaaliwa, thamani ya shilingi kumi ya leo ni kubwa ukiitumia vyema kuliko laki moja ya kesho unayoingojea''.