Nyumba inauzwa milioni 29

ngoja niweke vocha
 
Hujasema nyumba iko wapi,mitaa gani,mkoa gani,na picha!
 
nipigie 0658478165
hufai kabisa kuwa upcoming president habari yako haijamalizika wala haiko kimasoko kabisa. sasa unataka tukupigie bila kuona hata picha ya nyumba au kujua iko mji gani na mtaa gani na kwanini unaiuza na je ina hati halali? ukubwa wa eneo, huduma zinazopatika e.g maji, umeme, kisima.
 
Last edited by a moderator:
Nimempigia amesema nyumba iko Shirati na bado iko kwenye lenta halafu amesema yeye ni dalali na tena inamgogo wa umiliki maana ni ya urithi.
 
Nimempigia amesema nyumba iko Shirati na bado iko kwenye lenta halafu amesema yeye ni dalali na tena inamgogo wa umiliki maana ni ya urithi.

Pia amesema amezoea utapeli kwa hiyo buyer be careful!
 
subiri wapo wataokupigia...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…