Aisee yaani hapo ndo umeweka tangazo na unaamini utauza... Hebu kuwa serious kidogo... Taja nyumba ina vyumba vingapi, ukubwa wa eneo, ofa yao, na ikiwezekana picha..mwingine anaweza kuwa hana uhitaji lakini maelezo na picha vikamshawishi Kuwa mshawishi kidogo.. Kuuza kitu online sio kirahisi hivyo.