Nyumba inauzwa Mabibo

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,712
Ipo Mabibo Mwisho Jonans vyumba 3 na sebule. Bei 37,000,000
 
Ipo Mabibo Mwisho Jonans vyumba 3 na sebule. Bei 37,000,000
Piga 0717079379

Tangazo halijitoshelezi, sema yafuatayo: 1. Ina maji, umeme 2. Inafikika kwa gari yaani hupaswi julaza gari kwa mjumbe? 3. Ina hati au leseni ya makazi? 4 Ina fence? 5. Ina vitu muhimu kama jiko, dining na sebule 6. Kuna self contain rooms au nisme self contained masterbed room etc?. Ninashauri ukitoa tangazo la kutosheleza inasaidia maswali mengi. Asante naamini umenielewa.
 
Haina maji Ila umeme upo. Gari inaishia kama mita 400 kutoka kwenye nyumba na IPO umbali wa Mrita 500 kutoka main road. ina hati na lessen makazi. Haina fence. Vyumba ni vya kawaida sio master. Ina sebule na dining
 

Asante kwa ushauri mkuu. Nimejaribu kufanya hivyo hapa chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…