Nyumba yenye rooms (3), ikiwemo master inauzwa eneo la kunduchi salasala mboma road nyuma ya kisima kikubwa cha maji. Bei ni M85, maongezi yapo. hakina udalali wala tatizo lolote. Kiwanja kina hati ya ardhi ya kijiji ya mnunuzi wa mwisho na mtangulizi wake utapewa. nyumba iko kwenye finishing, wiring tayari na umeme uko karibu hamna haja ya nguzo. kiko kwenye planned area na majiarani wote wamepima.Ina maji tayari. Wasiliana na 0655710520 (Owner).
mkuu huko viwanja,ni expensive,nakushauri uonane na wale masurveyor na evaluator aje aone eneo lako afu ndio akwambie bei ya kuuza,ndio uuze....hii price uliyoweka hapa naona ni cheap kwa hilo eneo sana,..................

Hajui bei za nyumba huyo jestina pengine mambo kama hayo wanaume ndo macho wanawatoka sana, kula kwa jasho kulala kwa ninin? kama kuzaa ni kwa uchungu?