Nyumba inauzwa Kinondoni

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
902
Reaction score
1,536
Nyumba Inauzwa kinondoni Tsh mil 450
Ina flame za Maduka mbele lakini nyuma ina eneo jingine kubwa la Uwazi, Eneo lina kibali cha kujenga Ghorofa Tisa. kiwanja kina Hati na vibali vingine vyote vinavyotakiwa kisheria kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa simu no +255764361843 au 0675195831
 
Attachments

  • IMG-20151125-WA0000.jpg
    81.2 KB · Views: 418
  • IMG-20151125-WA0000.jpg
    75 KB · Views: 1,033
kwanin usingesubir huo mchana, au marehemu kafariki usiku huu huu

Mkuu sasa na wewe umeharibu MAREHEMU KAFARIKI TENA hata mimi nimemuuliza kwa nn auze nyumba usiku tena saa tisa
 
Alikuwa anasubiria internet ya kasi ili a upload picha wakuu
 
Hahaaa yaani wabongo bhana haya kumekucha ongeeni jingine wapendwa
 
Hahahha,asiee burudani kweli.
Yote kwa yote frame zinauzwa maana siioni nyumba hapo.Jamaa kaipiga picha kiwizi kweli,amezuiliwa hata kuingia ndani
 
Hahahha,asiee burudani kweli.
Yote kwa yote frame zinauzwa maana siioni nyumba hapo.Jamaa kaipiga picha kiwizi kweli,amezuiliwa hata kuingia ndani
Huyu atakuwa kwenye chain ya madalali yupo namba 8 hadi 10 haruhusiwi hwta kutoa tangazo sema kajitahidi kuiba ndo kapata hapo
 
Dah wazee Mshaanza maneno! nicheki kwa namba yangu kama unataka icha nitakua picha zote za nje na ndani
 
Attachments

  • IMG-20151115-WA0010.jpg
    192.1 KB · Views: 504
Hahahha,asiee burudani kweli.
Yote kwa yote frame zinauzwa maana siioni nyumba hapo.Jamaa kaipiga picha kiwizi kweli,amezuiliwa hata kuingia ndani

Huyu atakuwa kwenye chain ya madalali yupo namba 8 hadi 10 haruhusiwi hwta kutoa tangazo sema kajitahidi kuiba ndo kapata hapo

bora mmeonyesha kuwa huy anaweza kuwa ni mtu wa aina gan! Ahsanten wakuu
 
Nyumba Ina flame? Duh Kaz kwelikweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…