Nyumba inauzwa Kimara, Dar

Joined
Nov 17, 2015
Posts
97
Reaction score
23
Nyumba kuukuu (iliyo katika kiwanja chenye nafasi ya kujenga nyumba nyingine (mita 25 kwa mita 70),inauzwa Kimara mwisho,mita 700 toka Morogoro Road,pembeni ya barabara iendayo Bonyokwa,eneo linaloitwa Ghorofani/makaburini.
Sababu ya kuuzwa ni kwa ajili ya matibabu ya mmiliki wake.
Bei ni 15,000,000/= (Maelewano yapo)
Kwa mwenye nia ya kununua,tafadhali wasiliana nami PM au acha namba utafutwe.

Updates: Kama unatoka Ubungo,ukifika Kimara mwisho stand ya BRT,unaingia barabara inayopanda kushoto kwako (Bonyokwa Road),halafu unaenda mpaka upite Tanesco Stand ya Bonyokwa ( Lukumay Tower) utakuta mkono wako wa kuume kuna makaburi,nyuma ya makaburi ndio ilipo nyumba.
 
Weka location vizuri. Ili tupapate vizuri mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…