Nyumba inauzwa Kilwa

Mandison

Senior Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
191
Reaction score
116
Nyumba mpya ya kisasa yenye pande mbili ambapo kila upande una vyumba viwili, kimoja self, sebule, jiko, public toilet. Pia kuhusu umeme na maji ni kwamba kila upande una mita yake.

Mwenye kuhitaji njoo PM au piga simu 0767217124

 
Funguka zaidi, Kilwa ipi? Kivinje, Kisiwani au Masoko?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…