C ChiefSkin Member Joined Apr 11, 2015 Posts 83 Reaction score 25 Sep 3, 2015 #1 nyumba ipo kigamboni Toangoma dsm mita 150 kutoka barabara ya lami. bei ni milioni 35 ila maelewano yapo ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kina masterroom ina sebule ina jiko ina dinning room nyumba imekamilika inahitaji maboresho madogo tu. kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au whatsapp 0755040485, Tutakutumia picha ya nyumba ukihitaji.
nyumba ipo kigamboni Toangoma dsm mita 150 kutoka barabara ya lami. bei ni milioni 35 ila maelewano yapo ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kina masterroom ina sebule ina jiko ina dinning room nyumba imekamilika inahitaji maboresho madogo tu. kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au whatsapp 0755040485, Tutakutumia picha ya nyumba ukihitaji.
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Sep 3, 2015 #2 Ukubwa wa Kiwanja Tafadhali,Picha ya mbele zaidi