Nyumba inauzwa Ituha - Mbeya mjini

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Nyumba inauzwa maeneo ya ituha (Mbeya Mjini). Si umbali mrefu kutoka inapoishia rami.(Unaingulia Sae). Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja kati ya hivyo ni self), Ina sitting room, dinning room, kitchen na public toilet. Ina talies. Ceiling board imewekwa sebuleni.

Ina umeme na maji yapo jirani. Bei 25M HAIPUNGUI. (Haina na haihitaji dalali)

Serious buyers piga 0715 55 55 85.

NB: (Sihitaji usumbufu, namba hiyo ni kwa ajili ya mnunuzi tuu.)
 

Attachments

  • 20151122_181129.jpg
    218.9 KB · Views: 120
  • 2015-11-22 18.06.17.jpg
    32.9 KB · Views: 179
  • 20151122_181142.jpg
    244.6 KB · Views: 109
  • 20151122_180249.jpg
    296.3 KB · Views: 118
  • 20151122_180235.jpg
    154.4 KB · Views: 106

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…