Alex Katto
Senior Member
- Mar 3, 2013
- 155
- 20
hizo picha mbona zinatosha kuonesha kwamba hakuna nyumba kinachouzwa ni kiwanja! maswali ya msingi mnunuzi kuuliza ni: kiwanja kimepimwa? kina ukubwa gani? kina hati? panafikika kwa gari? umbali kutoka barabara ya lami? umeme tumeuona, maji je?Piga picha kwa mbali ili kuipata view ya nyunba vizuri