Nyumba inauzwa, iko bambucha barabara ya kitunda kivule, inavyumba 4 vya kulala kimoja master, sitting room, dinning room, study room, jiko na vyoo vya public, inaumeme na imeezekwa kwa vigae, upande wa nje kuna eneo kubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa, mawasiliano 0784358388 na 0766100653, mhusika mkuu, sio dalali, bei Tsh 200,000,000/= (Milion 200) majadiliano yapo
200m njoo kinondoni upate nyumba yenye hati miundombinu yote ya kueleweka maji na sewage barabara za mitaa zinazopitika kipindi chote cha mwaka, usalama wa hali ya juu,
Ni kweli fedha yetu imeshuka thamani ila si kwa kiwango hicho au kama ni we ni dalali unaeka cha juu weka amount resonable
Msikatishe watu tamaa ya maisha mana kwa mtu ambaye hajui chochote kuhusi ujenzi na nyumba kwa ujumla then akaiona hiyo semi-finished house kwa 200 m serious hawezi hata kuwaza kujenga achilia mbali kununua kiwanja ndo mana vijana wakipata hela wanaogopa hata kuuliza bei ya viwanja wanaishia kwenye alteza tu mana imagine unamwambia kiwanjia 75m mingoi kama muuzaji mmoja juu hapa na hap ana 10m option rahisi ni gari huku anasubir kudra za mwenyezi mungu wakat viwanja vya milion 4 kibao chanika huko
Mkuu kuna watu sijui akili zao wanaziweka wap wakati wanaandika hivi vitu not in a bad way ila they have to be considerate na kujua bei ya soko ya hicho wanachouza sio kukurupuka na kuandika bei zisizoeleweka fanya research kwamza then utajua
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 70. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta. Ina hati zote