golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
bei juuWakuu habari za weekend. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kiimfaacho mtu chake. Nauza Nyumba yangu ambayo haijaisha.
Sifa za Nyumba/pagale
-Ni Vyumba viwili, katikati ndio kuna sebule.
-Pagale limepigwa bati tayari, Kwa staili ya kisasa.
-Ukubwa WA Kiwanja 26*27m
-Eneo Chanika Zogo Ali
-Umeme upo, nguzo tatu
-Majirani wapo wengi, kumejengeka
Picha nitaupload baadae, Niko mkoa mwingine kuna MTU nimenunua
Bei 10m
Simu 0716411720
Hujaiona tu, ngoja nikutumiwa picha utasema ndogo.bei juu
Mkuu hiyo si ni bei ya Kiwanja Tu. Nyumba ina Vyumba viwili na sebule. Sebule IPO katikati. Tayari bati limepigwa. Kiwanja kipo vizuri.Mkuu chukua millioni nne chapuchapu kule shamba sana huwezi pata nyumba ya vyumba viwili kwa hiyo bei kama upo tayari chapu nitafute kwa no 0715378687
Ila yule uliyemtuma picha hajafika na kukutumia?nyumba bado ipo
Bado hakupata muda wa kwenda hukoIla yule uliyemtuma picha hajafika na kukutumia?
Akipata njoo utangaze maana bila picha hakuna biasharaBado hakupata muda wa kwenda huko
Maelezo na picha ingekuwa vizuriWakuu habari za weekend. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kiimfaacho mtu chake. Nauza Nyumba yangu ambayo haijaisha.
Sifa za Nyumba/pagale
-Ni Vyumba viwili, katikati ndio kuna sebule.
-Pagale limepigwa bati tayari, Kwa staili ya kisasa.
-Ukubwa WA Kiwanja 26*27m
-Eneo Chanika Zogo Ali
-Umeme upo, nguzo tatu
-Majirani wapo wengi, kumejengeka
Picha nitaupload baadae, Niko mkoa mwingine kuna MTU nimemtuma
Bei 10m
Simu 0716411720
Sawa mkuuMaelezo na picha ingekuwa vizuri