mslopagaz JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 367 Reaction score 36 Sep 1, 2016 #1 Nyumba ya Kisasa Sitting room Dinning Master 1 single 3 Jiko Store Full tiles and gypsum Fensi Huduma muhim znapatkana kwa ukaribu 0656 698232
Nyumba ya Kisasa Sitting room Dinning Master 1 single 3 Jiko Store Full tiles and gypsum Fensi Huduma muhim znapatkana kwa ukaribu 0656 698232
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Sep 1, 2016 #2 mslopagaz said: Nyumba ya Kisasa Sitting room Dinning Master 1 single 3 Jiko Store Full tiles and gypsum Fensi Huduma muhim znapatkana kwa ukaribu 0656 698232 View attachment 391589 Click to expand... Chanika kubwa, sema ni ipi ......... na kuna umbali gani kutoka road kuu ???
mslopagaz said: Nyumba ya Kisasa Sitting room Dinning Master 1 single 3 Jiko Store Full tiles and gypsum Fensi Huduma muhim znapatkana kwa ukaribu 0656 698232 View attachment 391589 Click to expand... Chanika kubwa, sema ni ipi ......... na kuna umbali gani kutoka road kuu ???
mslopagaz JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 367 Reaction score 36 Sep 1, 2016 Thread starter #3 samsun said: Chanika kubwa, sema ni ipi ......... na kuna umbali gani kutoka road kuu ??? Click to expand... Chanika mjin mita 450 kuotoka barabara kuu ya lami
samsun said: Chanika kubwa, sema ni ipi ......... na kuna umbali gani kutoka road kuu ??? Click to expand... Chanika mjin mita 450 kuotoka barabara kuu ya lami
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Sep 1, 2016 #4 mslopagaz said: Chanika mjin mita 450 kuotoka barabara kuu ya lami Click to expand... Poa,nitakutafuta.
mslopagaz said: Chanika mjin mita 450 kuotoka barabara kuu ya lami Click to expand... Poa,nitakutafuta.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,445 Reaction score 46,203 Sep 2, 2016 #5 Mbona hiyo picha imekuwa kama kupatwa kwa Mwezi vile,maana ipo nusu nusu.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,892 Reaction score 10,123 Sep 2, 2016 #6 Frank Wanjiru said: Mbona hiyo picha imekuwa kama kupatwa kwa Mwezi vile,maana ipo nusu nusu. Click to expand... Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbao
Frank Wanjiru said: Mbona hiyo picha imekuwa kama kupatwa kwa Mwezi vile,maana ipo nusu nusu. Click to expand... Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbao
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,445 Reaction score 46,203 Sep 2, 2016 #7 Zanzibar Spices said: Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbao Click to expand... Hahahaha duh imevaa kizibao tena!!!!
Zanzibar Spices said: Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbao Click to expand... Hahahaha duh imevaa kizibao tena!!!!