Nyumba inauzwa chanika 48ml

ricostrong

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
43
Reaction score
6
Nymba ya kisasa
Sitting room
Master1
Single 3
Public toilet
Full tiles
Full gypsum
Uwanja 14/16
0656 698232
 
Hivi Mbona Chanika Inauza na Kuuzwa sana Mara Viwanja mara Nyumba Kuna Nn huko ?
 
Hivi Mbona Chanika Inauza na Kuuzwa sana Mara Viwanja mara Nyumba Kuna Nn huko ?
Hakuna tatizo lolote mkuu, ni makazi mapya ambayo hupatikana kwa bei nafuu sana hivyo watu wengi hukimbilia huko ktk kutaka kuendeleza hata pale mtu anapokuwa na kiasi kidogo, mwisho wa siku akishindwa kukamilisha ndipo anapo tangaza kuuza ili chake kimsaidie
 
Asante kwa Maelezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…