Salaam.
Nyumba inauzwa,
Ipo PUGU, Majohe.
MAELEZO HUSIKA:
Ina vyumba vitatu (kimoja ni master bedroom)
Sebule kubwa, jiko, public toilet, sehemu ya kulia chakula, na store
Ina gypsum na tiles
Ina umeme, maji yapo jirani
Ukubwa wa eneo la KIWANJA ni 25*25 (sqm 625)
Umbali kutoka PUGU road ni 2km