Maro victor
Member
- May 22, 2013
- 14
- 4
15 milion bossMaro bei ya kutupa ndio ngapi
Milion 15Bei ya kutupa ni kiasi gani.!?
Mkuu mil 15Hapana mkuu 150millions Hiyo nyumba??
Hiyo Bei kubwa Sana
Bei ya kununua kiwanja katikati ya mji
Hauwez uza kwa hiyo Bei mzee baba
HahahaWe jamaa unatania aise
Kwanza
Hujataja bei
Hujapiga picha za kueleweka
Kajipange upya aise
Hapana mkuu haipo ndani ya hifadhi karibu uje kuona sehemHatua 20 si ndani ya hifadhi ya barabara mkuu? Tulishanunua sehemu hatua kama 18 approx tukaambiwa isogee nyuma hatua thelathini, Yaani ivunjwe kipande' zaidi ya nusu kumbe na muuzaji alishapewa barua ya kupokea fidia. Uzuri kakubali akipokea fidia tu atarudisha sehemu ya pesa.
Hapana mkuu haipo ndani ya hifadhi karibu uje kuona sehem
Pamoja sana kakaMkuu pole ila nkuambie ukweli mchungu hakuna mnunuaji hapa kwenye comments, mtu aliye serious na wewe atakutafuta kwenye namba na hata kuja kupaona, usihangaike na comments za watu, nimegundua humu watu wengi kejeli zimewajaa ukiweka tangazo lako na mawasiliano piga kimya endelea na shuhuli zingine aliye na nia atakutafuta, pia jaribu kutafuta dalali aliye serious muingie makubaliano kiukwel wao hua na contacts za wanunuaji jappo wanapiga cha juu ila muingie makubaliano tu.