dalali Mwanafunzi Member Joined Sep 25, 2016 Posts 76 Reaction score 20 Sep 25, 2016 #1 Ina vyumba2, Sebule, Choo na Jiko. Bei Tsh 250,000 kwa Mwezi Tuwasiliane 0713226191 /ATTACH] Attachments 1474816323239.jpg 20 KB · Views: 27
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Sep 25, 2016 #2 Aliyekwambia nyumba ni choo kakudanganya. Nyumba ni chumba, sebule, jiko dinning hall, corridor, veranda, parking, sehemu ya kuanikia Nguo nk Hebu weka picha za kutosha
Aliyekwambia nyumba ni choo kakudanganya. Nyumba ni chumba, sebule, jiko dinning hall, corridor, veranda, parking, sehemu ya kuanikia Nguo nk Hebu weka picha za kutosha
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 Sep 25, 2016 #3 Hiyo ni nyumba au banda la mbwa?
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Sep 25, 2016 #4 PjMarLu said: Hiyo ni nyumba au bada la mbwa? Click to expand... Watu wenye maneno dizain hii mara nyingi mnanakuwaga hamjui hata bei ya tofali,wakati mwengine bora mtu usitoe comment.
PjMarLu said: Hiyo ni nyumba au bada la mbwa? Click to expand... Watu wenye maneno dizain hii mara nyingi mnanakuwaga hamjui hata bei ya tofali,wakati mwengine bora mtu usitoe comment.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,489 Sep 25, 2016 #5 Mbona kama haijakamilika kiujenzi
jabneel Member Joined Sep 24, 2016 Posts 39 Reaction score 13 Sep 25, 2016 #6 funzadume said: Mbona kama haijakamilika kiujenzi Click to expand... imelaa vizuri ila bei sio halali kwa hali ya uchumi
funzadume said: Mbona kama haijakamilika kiujenzi Click to expand... imelaa vizuri ila bei sio halali kwa hali ya uchumi
dalali Mwanafunzi Member Joined Sep 25, 2016 Posts 76 Reaction score 20 Sep 25, 2016 Thread starter #7 funzadume said: Mbona kama haijakamilika kiujenzi Click to expand... Nyumba mpya ndiyo inamaliziwa
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,029 Reaction score 52,507 Sep 25, 2016 #8 mkifika laki na nusu ni pm
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,997 Reaction score 9,522 Sep 25, 2016 #9 Hii bei ikiizidii sanaaa elf 14 kwa mwezi narudia tena kodi tsh elf kumi na nne tu...kwa mwezi
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,355 Sep 25, 2016 #10 Sir_Mimi said: Watu wenye maneno dizain hii mara nyingi mnanakuwaga hamjui hata bei ya tofali,wakati mwengine bora mtu usitoe comment. Click to expand... Kwahiyo mkuu hata tusiulize
Sir_Mimi said: Watu wenye maneno dizain hii mara nyingi mnanakuwaga hamjui hata bei ya tofali,wakati mwengine bora mtu usitoe comment. Click to expand... Kwahiyo mkuu hata tusiulize
U Upiversity JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 3,487 Reaction score 2,634 Sep 25, 2016 #11 Somoche said: Hii bei ikiizidii sanaaa elf 14 kwa mwezi narudia tena kodi tsh elf kumi na nne tu...kwa mwezi Click to expand... ...baba'ako anayo?
Somoche said: Hii bei ikiizidii sanaaa elf 14 kwa mwezi narudia tena kodi tsh elf kumi na nne tu...kwa mwezi Click to expand... ...baba'ako anayo?
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,997 Reaction score 9,522 Sep 26, 2016 #12 Upiversity said: ...baba'ako anayo? Click to expand... Nikikuambia mimi ndio baba yako na kaulize upate ukweli huo usikatae
Upiversity said: ...baba'ako anayo? Click to expand... Nikikuambia mimi ndio baba yako na kaulize upate ukweli huo usikatae
U Upiversity JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 3,487 Reaction score 2,634 Sep 26, 2016 #13 Somoche said: Nikikuambia mimi ndio baba yako na kaulize upate ukweli huo usikatae Click to expand... ....acha kinyekunyeku,jibu swali; ..baba'ako anayo?
Somoche said: Nikikuambia mimi ndio baba yako na kaulize upate ukweli huo usikatae Click to expand... ....acha kinyekunyeku,jibu swali; ..baba'ako anayo?