Nyumba inapangishwa

Angelo007

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
1,846
Reaction score
1,365
Nyumba inapangishwa ipo ubungo kibangu karibia na kibangu english medium.Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja master kati ya hivyo,public toilet nje na ndan,jiko pamoja na store,sebule kubwa,dinning,parking ya kufunga kwa magari mawili.Bei laki nne na nusu kwa mwezi haipungui.mawasiliano 0767400600.
 

Attachments

  • 1409831881337.jpg
    69.8 KB · Views: 94
  • 1409831916041.jpg
    76.4 KB · Views: 86
  • 1409831943853.jpg
    67.3 KB · Views: 79
  • 1409831969341.jpg
    59.9 KB · Views: 80
  • 1409832005093.jpg
    61.3 KB · Views: 78
  • 1409832052904.jpg
    82.7 KB · Views: 77
mkuu ukipata nyumba nyingine design hiyo tustuane. hali imebana inabidi tuachie nyumba za laki 8 mbezi beach tunaumbuka mjini hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…