Wadau napangisha Nyumba ipo Pugu Kichangani bei ni Tshs 200,000/= Yeyote anayehitaji anipigie kwa simu namba 0687702626. Nyumba ina vyumba 3, sebule,dinning,jiko choo cha ndani.Kisima kipo. Haina Dalali. Unaweza kuiona kwa picha hapo chini. Ulinzi upo.
Nyumba nzuri ila tatizo ninaloona nyumba nyingi mpya Tanzania ni kuwa hawafanyi ukarabati wa nje (landscaping). Picha hiyo inaonyesha kwa nje bado kama kazi inaendelea.
Nyumba nzuri ila tatizo ninaloona nyumba nyingi mpya Tanzania ni kuwa hawafanyi ukarabati wa nje (landscaping). Picha hiyo inaonyesha kwa nje bado kama kazi inaendelea.