Tapliti Member Joined Nov 11, 2021 Posts 12 Reaction score 6 Feb 1, 2023 #1 Chumba na sebule kinapangushwa tabata majichumvi vyumba ni vikubwa Bei 140k miezi minne anapokea vikubwa mnoo na vizuri mnoo dm ukihitaji.
Chumba na sebule kinapangushwa tabata majichumvi vyumba ni vikubwa Bei 140k miezi minne anapokea vikubwa mnoo na vizuri mnoo dm ukihitaji.
Beverlyn JF-Expert Member Joined Aug 17, 2019 Posts 704 Reaction score 2,908 Feb 1, 2023 #2 Picha tuone
Tapliti Member Joined Nov 11, 2021 Posts 12 Reaction score 6 Feb 1, 2023 Thread starter #3 Beverlyn said: Picha tuone Click to expand... Kam upo karibu we njoo uone ukiona huwez kupaacha
Snapdragon 8 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,073 Reaction score 3,885 Feb 1, 2023 #4 Tapliti said: Kam upo karibu we njoo uone ukiona huwez kupaacha Click to expand... Kwanini Hili Tangazo lako usingewasambazia watu wa maeneo ya karibu!!?
Tapliti said: Kam upo karibu we njoo uone ukiona huwez kupaacha Click to expand... Kwanini Hili Tangazo lako usingewasambazia watu wa maeneo ya karibu!!?
Tapliti Member Joined Nov 11, 2021 Posts 12 Reaction score 6 Feb 1, 2023 Thread starter #5 Snapdragon 8 said: Kwanini Hili Tangazo lako usingewasambazia watu wa maeneo ya karibu!!? Click to expand... Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa
Snapdragon 8 said: Kwanini Hili Tangazo lako usingewasambazia watu wa maeneo ya karibu!!? Click to expand... Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa
Snapdragon 8 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2023 Posts 1,073 Reaction score 3,885 Feb 1, 2023 #6 Tapliti said: Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa Click to expand... Tujifunze kwendana na Teknolojia ndugu kuna wengine wanakaa chanika lakini wanatamani kuishi katikati mji, na uwezekano wa kuja kupaona ni mgumu kutokana na shughuli za kiuchumi picha ingesaidia sana
Tapliti said: Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa Click to expand... Tujifunze kwendana na Teknolojia ndugu kuna wengine wanakaa chanika lakini wanatamani kuishi katikati mji, na uwezekano wa kuja kupaona ni mgumu kutokana na shughuli za kiuchumi picha ingesaidia sana