dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,346
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si kwa picha hizo,sa ndo nini hiko?
Ok, sio pa wizi dada tatizo camera ya simu yangu haitoi picha vizuri sana ila najitahidi nipige picha nzuri hofu ondoa kwa hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si kwa picha hizo,sa ndo nini hiko?
em piga picha vizuri zieleweke,ndani na nje koote kila kona,sio unajiiba iba kupiga.. ukute pa wizi
Poa kamanda..!!
KaribuPicha za kunyapia nyapia
Bei nzuri
sasa ni vyumba single, imegawanywishwaKaribu
sasa ni vyumba single, imegawanywishwa
sio nyumba nzima.
Chumba tsh 50,000Price????