Nyumba ipo Tegeta. Ina vyumba vitatu vya kulala, Master bed ni self container, Jiko la kisasa, choo na bafu vyote ni vya kisasa. Sebure kubwa pamoja na chumba cha kulia. Parking kubwa yenye uwezo wa kupark magari manne. Sehem ya kupumzikia yenye mti wa kivuri kizuri.
Bei ni 600,000Tsh per Month.
Kwa mawasiliano watsap/call