nyumba ya vyumba 3,kimoja ni master,sitting,dinning,jiko,store,public toilet,madirisha ni ya alminium,car parking ya kutosha,maji ya uhakika,umeme luku ya kwako,feni kila chumba,imezungushiwa uzio.iko tabata kimanga. kodi ni 450000 kwa mwezi mawasiliano #0714358610