Nyumba inapangishwa Sinza

bonde

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
24
Reaction score
1
Ina vyumba viwili moja master,sitting rum,dinning and kitchen.ina fence na parking ya gari moja.hamna dalali.contact 0752123085
 
Sema sehemu ilipo yaani sinza ipi(A,B,C..E) karibu na nn na beiyake ikiwezekana na picha
 
Wasiliana kwenye simu sitaki madalali wataingilia kati.
 
Sinza wezi wa wake za watu, mi hapana ishi huko. I love my wife
 
Wasiliana kwenye simu sitaki madalali wataingilia kati.
sisi madalali ndiyo wenye wateja sasa ukisema hututaki unashangaza pia huko sinza watu wengi wanapigwa kwa mtindo wako huo huo , mi ni dalali na mteja ninaye mteja 0657 145555 sema sinza sehemu gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…