Overview:
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule,kitchen, verandah servant's quarter.
Vyumba viwili vikiwa self-contained and air conditioned.
Ina uzio na parking ya kutosha gari nne, garden.
Location: kenyatta street mkabala na CCM Wilaya.
Inaweza kutumika kama ofisi na pia nyumba ya makazi, iko eneo tulivu na lenye usalama.
Kwa mawasiliano piga namba
0785168001 au 0713713198