Upande unapangishwa,vyumba viwili vya kulala kimoja kina master,choo cha public. kuna jiko la ndani na luku inajitegemea kodi kwa mwezi laki mbili na nusu. Ina takiwa kodi ya mwaka hadi miezi 10. kwa masiliano nichek kupitia 0717 352 787[ATTACH]294640[/ATTACH]