Jamani jamani wenye nyumba muwe na huruma. Mishahara yetu yenyewe hii midogo alafu tumeishaichukulia mkopo, na bado mnataka tena kodi laki sita? Mbona haya maisha ya mjini yameshakuwa siyo... Mwisho wa siku utaanza utaratibu wa mtu analala kwenye chumba kimoja na mkewe, watoto na housegirl kwa jinsi rent zilivyokuwa sky rocketed...