Nyumba ipo mabibo mwsho nyuma ya muleba bar.., ina vyumba vitatu kimoja masta, sebule..dining. .jiko.. choo ndan (public).. stoo na frem,,pamoja na parking ya gari, systems ya maji ni mda wote..
Kodi laki 4 mwezi
Unaweza kulipa kwa miezi 6
Mawasiliano 0654314066/0768240404