Tsh 400000
Hizi apartment zipo 3 ktk compound moja apartment moja hiyo ground flow(kwa chini) kupo wazi,Ina vyumba 3,master kimoja,INA makabati ,jiko,public toilet,umeme inajitegemea na parking kubwa,IPO kimara suka dk5 kutoka main road.bei ni 400k x 6