Jamilajuma
Member
- Sep 27, 2010
- 19
- 0
Habari ma-great thinker!!
Nyumba mpya inapangishwa Bunju. Ina vyumba kama ifuatavyo;
Master bedroom (self contained) - 1
Vyumba vya kulala viwili (wanashare choo) - 2
Library/Study room - 1
Sebule -1
Dinning - 1
Kitchen na stoo
Choo cha wageni - 1
Sehemu cha kupumzikia - 1
Baraza la kubwa ya kupunga upepo - 1
Na pia ina servant quarter yenye chumba kimoja cha kulala, stoo na choo na bafu
Ina uzio na uwanja kwa watoto kucheza na matumizi mengineyo.
Gharama ni sh laki tano (Tsh 500,000) kwa mwezi.
Atakayehitaji tuwasiliane kwa namba 078 147 947, mimi ni mwenye nyumba na si dalali
Asante
Je ina maji, umeme na parking? na iko umbali gani kutoka bagamoyo road? je inafikika kwa gari?
Ina umeme, haina parking ila ina nafasi ya kupark zaidi ya magari matano na nafasi kubwa inabaki, hapana maji ya DAWASCO hayajafika ila kuna tank la lita 2000 na tunapanga kuchimba maji, ni dk tano kutoka main road na barabara inapitika vizuri sana hata kwa gari dogo, ni maeneo yaliyopimwa
weka pich please

Mkuu kwa jinsi ninavyoijua Bagamyo road, dk 5 toka barabara ya lami kuna maji ya DAWASCO ya kutosha na bomba kubwa la DAWASCO linapita maeneo hayo. maeneo hayo visimi vya kuchima ni nadra sana. Labda ni Mabwepande.