Nyumba inapangishwa-arusha

CAILER

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
38
Reaction score
10
nyumba inapangishwa arusha eneo kibanda maziwa. Nyumba ina chumba kimoja cha kulala sebule na choo ndani ziko 3 kwenye compound moja. Ziko karibu na barabara kuu ya nairobi. Ina geti maji na umeme ni mpya. Kwa mawasiliano zaidi pm au piga no 0754 274463.
 
 
Tunatafuta sehemu ya kuweka duka katikati ya mji wa Arusha. Can u help? Ni check Fb jina East Africa wedding dresses suppliers..acha message nitaikuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…