Dalali KinG Senior Member Joined Jan 16, 2019 Posts 102 Reaction score 71 Jan 24, 2019 #1 Nyumba Ipo Goba Marobo, Umbali wa 3Km kutoka Goba Senta. Nyumba ina Vyumba 4, Uwanja unaukubwa wa 400Sqm. Umiliki; hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa. Bei Tshs 17 Milioni Our Contact : 0686648630 Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba Ipo Goba Marobo, Umbali wa 3Km kutoka Goba Senta. Nyumba ina Vyumba 4, Uwanja unaukubwa wa 400Sqm. Umiliki; hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa. Bei Tshs 17 Milioni Our Contact : 0686648630 Sent using Jamii Forums mobile app
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,219 Reaction score 39,701 Jan 24, 2019 #2 Point of CORRECTION: Pagala hili si nyumba
Dalali KinG Senior Member Joined Jan 16, 2019 Posts 102 Reaction score 71 Jan 24, 2019 Thread starter #3 joshua_ok said: Point of CORRECTION: Pagala hili si nyumba Click to expand... Ni nyumba ya Kumalizia, Kupiga plasta, Kuweka Milango, Madirisha n.k Sent using Jamii Forums mobile app
joshua_ok said: Point of CORRECTION: Pagala hili si nyumba Click to expand... Ni nyumba ya Kumalizia, Kupiga plasta, Kuweka Milango, Madirisha n.k Sent using Jamii Forums mobile app
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,606 Reaction score 5,626 Jan 24, 2019 #4 Una nyumba boss acha dharau na utawala wa Magu..watu wanaishi na kuzaliana humo joshua_ok said: Point of CORRECTION: Pagala hili si nyumba Click to expand... READERS ARE LEADERS
Una nyumba boss acha dharau na utawala wa Magu..watu wanaishi na kuzaliana humo joshua_ok said: Point of CORRECTION: Pagala hili si nyumba Click to expand... READERS ARE LEADERS