Nyumba chanika 28ml

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba imejengwa kisasa zaid
-> master 1
->single rooms 3
->sitting room kubwa ya kisasa
->public toilet 1
->full gypsum
->huduma muhimu zinapatkana kwa ukaribu
->0656 698232
 
haina mgogoro?? kiwanja kipp sehem ya wazi nini?

maana hayo mauzo yananitisha na hiyo bei kama ipo chini sana
 
haina mgogoro?? kiwanja kipp sehem ya wazi nini?

maana hayo mauzo yananitisha na hiyo bei kama ipo chini sana
Haina tatzo huyo ndgu yangu kakwama so kama unahtaj njoo ujiridhishe then tukae mezan
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…