Nyumba 3 zinauzwa dar es salaam

Post1000

Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
10
Reaction score
3
Nyumba ya kwanza:

• Vyumba 3 kimoja kati ya hivyo ni Master
• Seating room 1
• Jiko 1
• Store 1
• Umeme
• Maji
• Parking 1
• Mita 200 toka barabara ya lami inafikika kwa gari

Bei: milioni 54




Nyumba ya pili:

• Vyumba 3 kimoja kati ya hivyo ni Master
• Seating room 2
• Jiko 1
• Store 1
• Umeme wa sola (nguzo ya Tanesco ipo nje)
• Parking
• Mita 50 toka barabara ya lami.

Bei: milioni 63






Ipo mkabala na lake oil shell kama una gari ni karibu pa kujazia mafuta






Nyumba ya tatu:

Ina rooms 2 uani, ina bar, ina frem 3 mbele na eneo kubwa la kutosha.
Mita 300 toka barabara ya lami na inafikika kwa gari

Bei: milioni 55











Nyumba zote zipo Yombo Buza Temeke, Dar es salaam, kutoka hapo kwenda kariakoo ni muda wa dakika 20 na dakika 25 posta.
Nyumba zote zina hati miliki.
 

Attachments

  • DSC07854 (FILEminimizer).JPG
    56.9 KB · Views: 788
  • DSC07855 (FILEminimizer).JPG
    113.7 KB · Views: 774
  • DSC07856 (FILEminimizer).JPG
    82.2 KB · Views: 763
  • DSC07858 (FILEminimizer).JPG
    72.5 KB · Views: 766
  • DSC07859 (FILEminimizer).JPG
    71.6 KB · Views: 773
  • DSC07860 (FILEminimizer).JPG
    65.3 KB · Views: 764
  • DSC07861 (FILEminimizer).JPG
    58.6 KB · Views: 763
nahisi macho yangu yanamakengeza kwenye picha...
 
Mkuu hizi nyumba zipo sehemu gani hapa dar es salaam?
 
Hapo tumeelewana sasa bwana TUKUTUKU, Je umeipenda ipi kati ya hizo 3?.
 
Last edited by a moderator:
TUKUTUKU ni vigezo gani ulivyotumia kupaita huko ni uswazi?, ni wapi nikikutafutia nyumba hapa Dar utanunua?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…