Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Jul 25, 2012 #1 Ipo Mbezi Luisi ina vyumba vinne vya kulala, sitting room, dinning,store,bathroom na toilet.Iko karibu na barabara ya Morogoro njia ya kuelekea Makabe.Iko Kilometer 1 hivi toka hifadhi ya barabara. Kwa muhitaji tuma pm
Ipo Mbezi Luisi ina vyumba vinne vya kulala, sitting room, dinning,store,bathroom na toilet.Iko karibu na barabara ya Morogoro njia ya kuelekea Makabe.Iko Kilometer 1 hivi toka hifadhi ya barabara. Kwa muhitaji tuma pm
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,604 Reaction score 4,127 Jul 25, 2012 #2 kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu
kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Aug 16, 2012 Thread starter #3 kisukari said: kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu Click to expand... Niliona kuweka bei haina maana sana kwa vile hujaiona; hata hivyo inauzwa kwa sh.40M, ni ya kumalizia.
kisukari said: kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu Click to expand... Niliona kuweka bei haina maana sana kwa vile hujaiona; hata hivyo inauzwa kwa sh.40M, ni ya kumalizia.
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,305 Reaction score 343 Aug 16, 2012 #4 Ina title ya miaka mingapi? 33, 66, 99
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,825 Reaction score 22,207 Aug 16, 2012 #5 ipo kwenye eneo la ukubwa gani?