S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Nov 14, 2013 #1 Huyu anatafuta boyfriend ubabe: Hapiti mtu hapa ukilazimisha kupita nakufinyanga kama hivi good view kitoweo usingizi hauna baunsa daaah...no comment View attachment 121124 mmmmmmh..... tunadumisha mila... chinnese soldiers View attachment 121127 kibonzo
Huyu anatafuta boyfriend ubabe: Hapiti mtu hapa ukilazimisha kupita nakufinyanga kama hivi good view kitoweo usingizi hauna baunsa daaah...no comment View attachment 121124 mmmmmmh..... tunadumisha mila... chinnese soldiers View attachment 121127 kibonzo
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Nov 14, 2013 #2 mh! hatari tupu!!!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Nov 14, 2013 #3 Hilo jeshi la wadada ningekuwa karibu ni ngeomba kukagua kwa kukloo kutoka mstari wa kwanza hadi wa mwisho...Lol!
Hilo jeshi la wadada ningekuwa karibu ni ngeomba kukagua kwa kukloo kutoka mstari wa kwanza hadi wa mwisho...Lol!
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,146 Reaction score 40,910 Nov 14, 2013 #4 Hako kapicha ka kwanza hako nina kazi nako.....ngoja kwanza niwahi toilet..nakuja sasa hivi.
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,539 Nov 14, 2013 #5 bysange said: Hilo jeshi la wadada ningekuwa karibu ni ngeomba kukagua kwa kukloo kutoka mstari wa kwanza hadi wa mwisho...Lol! Click to expand... SI unit said: Huyu anatafuta boyfriend daaah...no comment View attachment 121124 Click to expand...
bysange said: Hilo jeshi la wadada ningekuwa karibu ni ngeomba kukagua kwa kukloo kutoka mstari wa kwanza hadi wa mwisho...Lol! Click to expand... SI unit said: Huyu anatafuta boyfriend daaah...no comment View attachment 121124 Click to expand...
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 15, 2013 #6 Wachina wamepandisha mori? Nalog off
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Nov 15, 2013 #7 Wachina ukikutana nao kwenye vita vya macho kwa macho uso kwa uso.utataja majina ya ukoo wenu wote mpaka ambao walikufa kabla hujazaliwa.hatari sana.
Wachina ukikutana nao kwenye vita vya macho kwa macho uso kwa uso.utataja majina ya ukoo wenu wote mpaka ambao walikufa kabla hujazaliwa.hatari sana.
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Nov 15, 2013 #8 Huyo aliyekalia kipisi cha mpingo, yuko vizuri.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Nov 15, 2013 #9 huyo Tembo ndo maana wakina kinana wanawamaliza