Nyaraka za siri kati ya Israeli na Marekani za kuwatoa Wapalestina kwenye ardhi yao zavuja

hiyo sio siri ndugu yangu, ndio mpango kamili uliopo kwenye vichwa vya wayahudi wote duniani, na ndiko wanakoelekea. wewe tu ulikuwa hujui hilo.
kwahiyo hamas wasingevamia trh 7 oct , je mpango huo ungefanikiwaje? achen kutunga maneno
 
kwahiyo hamas wasingevamia trh 7 oct , je mpango huo ungefanikiwaje? achen kutunga maneno
westbank kule Ramalah ujenzi huwa unaendelea kila mwezi, wapalestina wanauza ardhi na wengine wanaporwa kinguvu, na matajiri wa kiyahudi toka marekani wanatupa pesa wanajenga appartments za kuuzia wayahudi walioko duniani wanaopenda kuhamia au kuwa na nyumba Israel. ndio maana miaka 20 iliyopita west bank ilikuwa na wayahudi wachache, ila sasaivi karibia wapo nusu kwa nusu, itafika wakati, wapalestina watakuwa minority na watafutwa kabisa. israel hana mpango sana na GAZA, mpango wake ni westbank ambako ndiko kwenye East Jerusalem iliyoko mikononi mwa wapalestina.
 
kugombania maharage na unga kwa wapalestina tena wengi hawana makazi, na huku vita ikirindima na wakiendela kufa unafananisha na shule za boarding?
😂😂 Tatizo lipo wapi? Umeanza kuijua palestine mwaka gani na hayo ndio maisha yao!?
 
Vijana wa mudi mko active sana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Jordan ,misri na mataifa mengine kukataa wapalestina watu wanaona kama hawana akili
.

Hao jamaa wanajua kuwachukua Palestine pale ni sawa na kusaidia mpango wa wayahudi wa mchongo kutawala nchi yote.
Ni kweli kabisa. Watu wengi hawalioni hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…