Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,989
- 1,179
Hata kujua wamefikia hatua gani kwenye program yao ya Nuclear imekuwa issue. Hawa si watu wa njaa kama nyie mlioambiwa na mkuu wenu kuwa aspokwenda nje kuomba mtakufa njaa. Yani na ubabe wote marekani wameshindwa kuwafanyia kama walivyowafanyia kina Saddam.I love N. Korea. Yaani kila kitu wanachofanya, watu wa nje ya nchi huwa wanaspeculate.Imagine hawajui hata miaka ya kiongozi wa nchi hiyo!
Hapa kwetu mpaka per diem ya raisi watu wanajua.......
I love N. Korea. Yaani kila kitu wanachofanya, watu wa nje ya nchi huwa wanaspeculate.Imagine hawajui hata miaka ya kiongozi wa nchi hiyo!
Hapa kwetu mpaka per diem ya raisi watu wanajua.......
Nadhani itasaidia, manake wake wa viongozi wetu wapowapo tu hawajui hata majukumu yao ni nini
nazan hujajua unachozungumza-kifupi usiombe kuishi kwenye totalitarian state kama n.korea-I love N. Korea. Yaani kila kitu wanachofanya, watu wa nje ya nchi huwa wanaspeculate.Imagine hawajui hata miaka ya kiongozi wa nchi hiyo!
Hapa kwetu mpaka per diem ya raisi watu wanajua.......
nani kasema n.korea si watu wa njaa-kwa taarfa yako wanasuffer zaid ya hapa bongoHata kujua wamefikia hatua gani kwenye program yao ya Nuclear imekuwa issue. Hawa si watu wa njaa kama nyie mlioambiwa na mkuu wenu kuwa aspokwenda nje kuomba mtakufa njaa. Yani na ubabe wote marekani wameshindwa kuwafanyia kama walivyowafanyia kina Saddam.