I itel100 New Member Joined Jun 19, 2014 Posts 4 Reaction score 0 Jun 25, 2014 #1 Nokia asha 310 ipo on sale kwa 120000 lkn tuna punguzaa bei maelewanoooo
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,033 Reaction score 10,468 Jun 25, 2014 #2 Haya Madem watakuja kununua. Maana mie na Asha tena wapi na wapi,na hivi alikuwa Demu wangu Chuo akachukulia na Profesa.Sitaki hata kusikia. Kama ukibadilisha jina niambie nikutafute.
Haya Madem watakuja kununua. Maana mie na Asha tena wapi na wapi,na hivi alikuwa Demu wangu Chuo akachukulia na Profesa.Sitaki hata kusikia. Kama ukibadilisha jina niambie nikutafute.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jun 26, 2014 #3 Weka picha!
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 172 Jun 26, 2014 #4 Nokia mwanajuma huna?nachukua kwa sh 300000