Nokia 5.1plus for sale

Tuhakikishie kuwa hiyo simu sio ya wizi?.. maana unaweza kuingia chaka polisi wakalamba kichwa..simu inaibwa mwanza inaenda kuuzwa dodoma.. tracking system ya polisi ipo vyema siku hizi!
 
Mkuu tunaandikishana ondoa Shaka kabsa. Karibu
 
Tuhakikishie kuwa hiyo simu sio ya wizi?.. maana unaweza kuingia chaka polisi wakalamba kichwa..simu inaibwa mwanza inaenda kuuzwa dodoma.. tracking system ya polisi ipo vyema siku hizi!
Mkuu nasikia siku hizi kuna maujanja mapya wakitrack hiyo IMEI wanaenda kukutana na nokia kitochi,sijui wanafanyaje hata
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…