Mkuu Noah zimeshuka bei sana labda uwakamate wajinga wajinga.Soko la Noah limeharikiba baada ya serekali kuzipiga marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa taarifa yako Noah bei yake sasa ni kati ya 8 mil - 6 mil.[/QUOTE
bora umempa ukweli wake...........huenda hiyo nayo ilikuwa daldala au iliagizwa kwa kazi hiyo sasa mambo yamechacha. pole mkuu mambo yameharibika noah zilikuwa zimefikia m 15 lkn now ukienda kidongo chekundu m9 unaipata saaafi kabisa mkuuu