MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 466
- 101
Mkuu. Sie tuna aina ya LG NA SUMSUNG DVD WRITER, BEI THS 50,000@.Mna DVD/CD/CD-RW ROM za HP Pavillion dv 6500 entertainment Notebook PC? Kama mnazo ni bei gani. Bluetooth USB je? Bei.
Asante.
mfano flat screen tv inacheza kwenye ngapi hadi ngapi mkuu?
lcd ya tv inchi 22, aina ya singsung ni tsh 300,000/= guarantee mwaka mmoja. Nb tv flat screen inchi 21 aina ya singsung tsh 170,000/= .
ah kaka usiwe muongo wapi umeuliza Samsung?we umeuliza flat tv na ndio maana jamaa kakwambia alizonazo,Singsung nayo ni brand nzuri sana kutoka Singaporenimeulizia samsung singsung ndo mdudu gan mzee...tel me na home 'thieta' used inacheza kwenye kiasi gani...usichoke kunifahamisha mzee siku nakutafu nataka nimalize mahitaji yote