Ni muda kidogo nlinunua ili nifunge kwangu....nilinua nje ila sijawahi itumia.
Ina caméra 2, dvr na hardisk ndani, installation câble yenye kurefu zaidi ya mita 100...etc
Yaani Iko complète mwenye kuhitaji anakaribishwa
Bei ya kuuza ni 300,000/
Kwa mawasiliano Piga sim 0715591141 Dar
Ova
Ulinunua ya niniNshaiuzaaa hii cctv cam
Ova
Ok sawaNlinunua kna moja nlifunga kwangu hyo ilikuwa loose nkamuaa niuze tu
Ova