Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
Uk mmmm, ThiThi tumeThoea Japan.
Kama gari hiyo ya 2002 na haina matatizo ya kiufundi ni dili nzuri, ila bahati mbaya kwangu itaniwia ngumu based on personal reasons. Hope wadau watachangamkia dili.Bei inahusisha gari + usafirishaji kutoka UK hadi Dar bandarini
Bei inahusisha gari + usafirishaji kutoka UK hadi Dar bandarini
Gari za UK ni imara zaidi kuliko za Japan mdau, uliza wadau watakueleza!. Hii gari ipo safi kabisa
70,000 miles ni kama km ngapi vile?
Na hadi kuingia barabarani itabidi kiasi gani kiongezwe?
Wakuu Jamaa anauza gari kwa bei rahisi sana kwa sisi tunaujua magari hiyo bei ni rahisi mno,kwa sababu niliulizia bei kwa yard hizi xtrail zinarange kati ya 22-24m so kama ukinunua + kodi~18m ni cheap basi nunueni wadau