MoneyMakerTz
Member
- May 22, 2018
- 32
- 12
mbali sana huko boss jiongeze uje kukagua gari.Chukua 8 mkuu
MAJANGA YAKE NINI BOSS... ivi x trial 2003 na rav 4 L ipi gari bora zaidi...Nissan Xtrail kuanzia 2003 kushuka chini ni majanga...
Kila la kheri boss, ila hiyo nenda kauze mkoani
mkuu muuzie haraka sana otherwise lipeleke mikoa ya korosho ukaliuzembali sana huko boss jiongeze uje kukagua gari.
Ninaweza nikasema zina ubora sawa ingawa rav4 ina roho ngumu zaidi.MAJANGA YAKE NINI BOSS... ivi x trial 2003 na rav 4 L ipi gari bora zaidi...
Nishawazoea wasafisha mdomo haunipi shida ngoja nipite hivi nisubiri wanunuzi.mkuu muuzie haraka sana otherwise lipeleke mikoa ya korosho ukaliuze
Pesa yako ni ndogo kwa gari hii bosschukua 7mil kwa mbinde mkuu. Niko serious kabisa
Umenunua ngapi z miaka hiyo? na majanga yake ni yepi?Nissan Xtrail kuanzia 2003 kushuka chini ni majanga...
Kila la kheri boss, ila hiyo nenda kauze mkoani
Majanga kivip?Nissan Xtrail kuanzia 2003 kushuka chini ni majanga...
Kila la kheri boss, ila hiyo nenda kauze mkoani