Nina Iphone 3G. Nauza 230000

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
ni orijino kabisa na ipo katika hali nzuri. Ni PM namba yako tufanye biashara. Bei 2300000 tu
 
nakupa laki moja na tisin... weka picha
 
mwenye 200000 anicheki hapa fasta 0715553166
 
Hizo 3G zipo nyuma sana afu hujasema ni 3s au 3 na ni GB ngapi
 
Hizo 3G zipo nyuma sana afu hujasema ni 3s au 3 na ni GB ngapi

swali zuri mkuu, mi utundu wangu ni kwenye NOKIA tu. Hizi Iphone siyo mjuzi nazo kabisa. Yani ata sifahamu kama ni 3s au 3. Ninapenda mimi humu kwenye hii simu ni GAME. Maana inachukua mafile makubwa sana yani hadi GAME ya MB 50 na kuendelea inaingia. Ila kwenye GB hii kitu internal memory ni 32GB. Ina WI-FI. viber, itune, , ( makolokolo mengine mi siyaelewi mi nishazoea NOKIA. ). Bei 200000
 

Weka imei yake kwa kubonyeza star-reli-zero-sita-reli kuna namba zitakuja zinaanza na 35.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…